Nyakim Gatwech.
Kazaliwa mwaka 1993 mwezi wa January tarehe 27.
Ni mwanamitindo marufu kutoka sudan kusin. Mfahamu zaidi @queenkim_nyakim 🇸🇸
Nyakima Gatwech pia anaefamika kama “queen of the dark” yani malaika wa rangi nyeusi halizaliwa Gambela, Ethiopia wazazi wake wanatokea Maiwut, Sudan kusini hila waliondoka sudan kusini kwasababu ya vita linaondelea nchini humo.
Baada ya miaka kaza familia yake Nyakim ilihamia Kenya na kuanza kuishi katika kambi za wahamiaji nchini humo ndio badae waka hamia Marekani Nyakima akiwa na umri wa miaka 14.
Nyakim pamoja na familia yake waliweka makazi yao katika mji wa buffalo (New York). Mwanamitindo huyu aliondoka New york na akaelekea Minneapolis kule Minnesota kimasomo.
Nyakim hajawahi kuishi sudani kusini ila anachukulia kama yeye ni mtu wa sudan kusini halisi na anajivunia kwa hilo na ana upendo na nchi yake.
Mwanamitindo Nyakimi alishawahi kuonekana katika posters za filamu ya JIGSAW ya mwaka 2017 na katika cover za magazine mbali mbali kama women own excellence (WOE).
Nyakim Gatwech ni nyota marufu katika Tasnia ya fashion dunian. Mfollow Instagram 👉queennyakimofficial, na Twitter @queenkim_nyakim.

Written by: Aisha Omary
Source: wikipedia, Instagram
Cc: @zeze_tz
Follow our page @EA2471 for more info about all EastAfrican celebrities. Lets love, support and treasure our own.


